Nina mizigo michache hapa Morogoro, nahitaji iende Dodoma na Mwanza. Kwa kuwa mzigo si mkubwa, sjaona vyema kukodi gari zima. Nahitaji gari la mizigo linalotoka Dar au hapa Moro, kwenda Dom au Mwanza lichukue mzigo huu. Najua kuna magari ya mizigo yanajaziaga mizigo njiani yanapokwenda Mwanza. Nipigie 0765829257 in case
utakuja upigwe...nenda barabarani yanapopaki...mfn:hapo msamvu njia ya dom kuna petrol station karibu na tanesco malori huwa yanapaki nenda ongea na dereva straight utasafirisha kwa bei chee kuliko maelezo...