Sawa mkuu but nilishafanikiwa kusafirisha kwa wasafirishaji wa mizigo wa pale magomeni mwembechai nikavipokea apa dom jamhuri vikiwa salama salimini kwa tshs 140k.magari kuwa makini nayo haloo, wanapiga sana hela. Mm nimesafirisha mizigo kama yako toka moro ila nimeliwa kama laki 2 na kitu hivi hadi kufika dom. Nakushauri fuata ushauri wa kutumia treni. Mm nishavunja na kuchafua mali zangu asilimia kubwa sana
Hawa jamaa wapo poa sana mimi nawatumia sana nikiwa k/koo, mzigo unafika mapema alafu bei affordable mnoMpigie Simu Juma wa Musa Transporters wako pale Mall ya Mkuki House 0712444672 AU Gamalieli 0714303540.
hawa jamaaa wa Musa Transport walinisafirishia mizigo kutoka Dar kwenda Dodoma. Niliipeleka leo kesho yake ikafika Dodoma sala usalimini
Utabaki wewe mkuumbona kila mtu anataka kuhamia Dom, hii mikoa mingine mnamuacha nani?