Salaam kwa wanajamvi,
Tafadhari naomba kusaidiwa kupata gear box mpya ya Pick up Hilux(automatic au vinginevyo) ya kipindi kati ya mwaka 2006 hadi 2014.hata kama ikipatikana ya isuzu coster siyo tatizo. Nawasirisha.Bei iwe nafuu siyo kuumizana mbavu.
Embu jaribu kutembelea mtaa wa shurimoyo ilala, kwenye maduka ya used spear parts, lazima utapata tu! sana sana watataka kujua ni injini gani ya gari yako unayoenda kuifunga hiyo gearbox!
Embu jaribu kutembelea mtaa wa shurimoyo ilala, kwenye maduka ya used spear parts, lazima utapata tu! sana sana watataka kujua ni injini gani ya gari yako unayoenda kuifunga hiyo gearbox!