nahitaji kusaidiwa kujua

mafia boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
268
Reaction score
82
habari wanajamvi hili la elimu,jamani naitaji kusaidiwa kujua ni collage gani ambayo imesajiriwa na naweza kupata nafasi ya ualimu wa chekechea kwa sasa,maana najua sehemu nyingi wamemeliza kuchukua wanafunzi wapya,ila nimeona nisijifanye najua kila kitu naweza kupata sehem nzuri kuliko ninazozijua mimi kupitia wapi,please ni saidieni kama ipo maana hela yenyewe naweza kuitumia nikazidi kumuweka dada yangu nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…