Habari wakuu! Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu, 1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini? 2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels...