Nahitaji kusoma kozi za Afya naomba ushauri

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Nilihitimu form iv 2006.form 6 2010 PCB div 3 pt 14 yani EED nahitaji kusoma chuo mwaka huu course za afyaa nifanyeje?
 
Unaweza soma kozi ngazi ya degree au diploma, kutegemeana na uwepo wa nafasi cha kufanya jiandae kutuma maombi mara baada ya muda muafaka kufika.nadhani ni baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu.

maombi hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti hizi zifuatazo:-WWW.NACTE.GO.TZ au Home - Tanzania Commission for Universities. Hivyo basi keep on visiting these website frequently, to see up-to-date status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…