Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

Joined
Aug 1, 2024
Posts
30
Reaction score
53
Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied?

Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure mitandaoni ambazo ukisoma unaweza kupata ujuzi fulani?

Ni site zipi nitapata hizo kozi?
 
Kusoma online inahitaji moyo, umetulia zako unasoma zinakuja video za Balthazar.
Inahitaji kujitoa kwakweli
mara gamondi kafukuzwa🤣🤣, ila mi.kiukwel niko tayari maan hat kaz nnayofanya inanipa muda mwing sana wa kufanya mambo mengine mengi sana
 
  1. Kozi Zenye Vyeti:
    • Coursera, edX, Udemy na LinkedIn Learning hutoa kozi zinazotolewa na vyuo vikuu na taasisi maarufu, na baada ya kumaliza, unapata vyeti vinavyotambulika.
    • Gharama: Kozi nyingi zina malipo ya kati ya $30 - $100 kwa mwezi au kozi, ingawa kuna kozi za bure zinazotoa vyeti kwa malipo.
  2. Kozi za Bure:
    • Tovuti kama Khan Academy, Google Career Certificates, na MIT OpenCourseWare hutoa kozi bure bila malipo.
    • Gharama: Bure kabisa kwa masomo, lakini vyeti vinapatikana kwa malipo katika baadhi ya tovuti kama Alison.
  3. Tovuti Maarufu za Kozi za Online:
 
Back
Top Bottom