Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!
Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?
maoni yote yatakuwa equally respected!