Sawa mkuu.Boss hii unasoma from home, open University
Unataka kusoma hizo kozi ili iweje?Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!
Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?
maoni yote yatakuwa equally respected!
Alfred
Asante kwa mawazo mkuu, kwa background yangu ya elimu especially bachelor unaona kozi gani ni poa nisomeUnataka kusoma hizo kozi ili iweje?
Unataka kubadilisha majukumu, kupanda cheo au kusaka ajira mpya?
Binafsi sikushauri usome kozi yoyote katika hizo (maana hakuna kipya utavuna in terms of ajira) unless iwe ni msukumo wa mwajiri wako wa sasa.
Tumia milioni mbili sasahivi kasomee ualimu wa diploma civics kiswahili uje mtaani ndio utaelewa.Kusoma ni kuchezea Hela?
Tell me more about this..mana hua naiwazia.Piga masters ya monitoring and evaluation!
Kuna watu hawatokuelewaPiga masters ya monitoring and evaluation!