Hapana ila ningepata kwanza maoni ya wazoefu waliopita pale ningeshukuru kwanza.Umecheck website Yao?
Kwahiyo internet unatumia Kwa ajili ya nini?Hapana ila ningepata kwanza maoni ya wazoefu waliopita pale ningeshukuru kwanza.
Kuna vitu uwezi ukavikuta kwenye web asa hizi zinazoendeshwa na wabongo azifanyiwagwi update unaweza pata taarifa ambayo ni validKwahiyo internet unatumia Kwa ajili ya nini?
Contact us? Telephone number?Kuna vitu uwezi ukavikuta kwenye web asa hizi zinazoendeshwa na wabongo azifanyiwagwi update unaweza pata taarifa ambayo ni valid
Shukrani sanaNgoja nikusaidie kidogo ninacho kijua,..NIT wanapokea madereva tu...hivyo lazima uwe dereva..nasema hivyo kwa sababu watakupima Kuna tata pale utazikuta Sio utani utatestiwa kwanza na hizi test hufanyika Kila jumamosi ada ya test ni 20000..baada ya hapo utafuata matokeo jumatatu yake au siku inayofuatia
Ukifuzu...utalipia ada 400000 ndio utaendelea na masomo
Asante..
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Almost namba unazoziona kwenye dashboard za web nyingi za taasisi zetu ni useless ukipiga awapokei na ikiita TU ni bahati yakoContact us? Telephone number?