Nahitaji kutengeneza kitabu,ushauri wenu wadau

Mwason

Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Mimi ni kijana mwenye uwezo wa kuandika vitabu vya stori na vingine vya nafunzo. Kikubwa nakosa sapoti kutoka kwa watu wenye uwezo na wenye kunipa mchango wa kimawazo.
Nahitaji mchango wenu wakimawazo na hata kama kunamtu anapublish vitabu anipe sapoti kwani naweza
 
story zipi mkuu kwa jamii ya kitanzania andika stori za mapenzi na udaku utapata market kama Shigongo. yaaan uongo uongo uwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…