Nahitaji kuuza Mitungi ya gesi kwa lejaleja

Nahitaji kuuza Mitungi ya gesi kwa lejaleja

Naomba kujua vigezo pamoja na mahitaji mengine.
Kibali cha zimamoto unafuatilia fire ni 40000 kama ndo unaanza itakutoka zaid ya hio, uwe na fire extinguisher hapo hapo zimamoto utapata, then leseni manispa sh 81000,kabla ya hapo utapitia TRA ...ila kwa kuanzia unaweza kuanza kuuza tu ikichanganya biashara ndo ufuatilie ivyo vitu Kibali na leseni,
 
Back
Top Bottom