Nahitaji kuuza vocha za aina zote, lakini sio hizi za kukwangua

Nahitaji kuuza vocha za aina zote, lakini sio hizi za kukwangua

Hzo mashine za selicom gharama sn aisee bora hata ilivyokuwepo mobstock
 
Tumia laini za uwakala ,Tigorusha ,Airtel unarusha ,voda unarusha ,Halotel unarusha tena hii ndo unatumia na kuwarushia wa TTCL ,Na Smile .gawio 5%
 
Back
Top Bottom