petermbilinyi
New Member
- Jun 20, 2020
- 4
- 2
Jamani mimi niko Kidato cha Nne lakini nahitaji kuwa bwana kilimo sijui ni kwenye masomo gani amboyo naweza kujikita zaidi ili niweze kutimiza ndoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio CBA mkuu??Tafuta matokeo mazuri masomo yote. Ukifika advance soma CBG
Sio lazma mkuuSio CBA mkuu??
CBA ndio combination gani?Sio CBA mkuu??
Chemstry bios n agricultureCBA ndio combination gani?
Sio CBA mkuu??
Basi zote ni potential kwakeChemstry bios n agriculture
Kama lengo ni uje uajiriwe, soma afya. Kama ni kujiajiri, soma kilimo. Usijesema hukulijua hili. Kilimo wamejazana mtaani hadi huruma. Mfano hai: Utumishi wametoa nafasi 2 za ajira za kilimo, wameitwa interview watu 300 wakati afya zikitoka ni nafasi za kumwaga mpaka 1000 huko
Nashukuru Sana kwa ushauli wakoFaulu vzur..masomo yote..hususani ya sayansi..baada ya hapo unaweza endelea na advance level..au ukaingia vyuo vya kilimo kwa ngazi ya Diploma ili utimize ndoto yako..cha msingi kwa sasa ni kusoma na kufaulu vizuri...kilimo kiwe passion yako toka moyoni kabisa...hakika utafanikiwa.
#MaendeleoHayanaChama.
Sawa nimekuelewaKama lengo ni uje uajiriwe, soma afya. Kama ni kujiajiri, soma kilimo. Usijesema hukulijua hili. Kilimo wamejazana mtaani hadi huruma. Mfano hai: Utumishi wametoa nafasi 2 za ajira za kilimo, wameitwa interview watu 300 wakati afya zikitoka ni nafasi za kumwaga mpaka 1000 huko
Nimekuelewa sana kiongoziSio CBA mkuu??
Hizi dhana ni potofu sana, mafanikio siku zote huja kwa kupenda unachofanya. Wangapi wamesoma afya still ajira zikitoka wanakosa? Swala la ajira limekuwa changamoto kwa kila nyanja.Kama lengo ni uje uajiriwe, soma afya. Kama ni kujiajiri, soma kilimo. Usijesema hukulijua hili. Kilimo wamejazana mtaani hadi huruma. Mfano hai: Utumishi wametoa nafasi 2 za ajira za kilimo, wameitwa interview watu 300 wakati afya zikitoka ni nafasi za kumwaga mpaka 1000 huko