Wana jf naamini akuna linaloshindikana humu ndani, nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri nahiatji kujua machache toka kwenu wapendwa, tofauti na computer na access ya mtandao ni jitiada gan mimi nitatakiwa kufanya ili nifanikiwe ideas nimepata blog i deal na nini? na nani anaweza kunisaidia kwa ushauri au kwa kuanzisha.
pia nina shughuri ambayo sio rasmi naifanya wakati wa mchana kwa wiki nzima, shughul hii ya blog inahitaj more time?
natanguliza shukrani