Kwanza, nawapongezeni kwa juhudi zenu ktk kutafuta maisha bora na ujenzi wa taifa letu. Pili, mimi ni kijana wa kiume (miaka 26). Furaha yangu ni kumpata rafiki wa kike anaeishi mwanza, mara au geita. Shabaha ya urafiki wetu itakuwa ni kujengana kimaisha kwa kubadilishana mawazo yenye kumjenga mtu kimaisha. Uzi huu umejengeka kwenye msingi wa kwamba kila binadamu anahitaji mawazo mapya ili aendelee. Mawazo mapya yanaweza kupatikana kupitia watu. Pia unatakiwa kuwa huru lakini kamwe usiishi kwa kujitenga. Aliye tayari aniPM. Amani kwenu.