Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nauliza ni qualities/ujuzi upi unafaa sana ili uweze kuwa dalali?
Nimeona kwa sasa ndio kazi kubwa inayofanyika hata wale Watunga Sera tuliowachagua warekebishe mambo na kuweka vitu sawa ili tupate ajira zenye ujira wamekuwa ni madalali (Wao hawafanyi bali kutafuta mtu wa kufanya)
Kwahio sababu hio ndio kazi KUU, ni vema tukajua ni sifa zipi zinatakiwa ili tuweze kuchagua madalali wa kesho waweze kufanya kazi hio kwa Umakini.
Lakini najiuliza mali hizi zote tukishazi-dalalia then what ?
Tutabadilisha kazi ?