Mkuu tatizo spea huku babati nitapatia wapi mmChukua Audi za mjerumani bei ni sawa tu na toyota zilozoeleka hutajuta maana zishaanza kuingia kwa kasi Bongo speed 220.kama hii hapa chini. View attachment 509246View attachment 509247
Huko Nisani Murano itakufaaMkuu tatizo spea huku babati nitapatia wapi mm
Acha woga mkuu.Mkuu tatizo spea huku babati nitapatia wapi mm
Watu wanaimport spare straight from manufacturer ...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwan babati hamna postaAcha woga mkuu.
Unataka gari ya Europe na unalalamika spare utapata wapi?
Endelea kitumia Toyota wenye spare nyingi.
Mkuu tatizo spea huku babati nitapatia wapi mm
HahahaWatu wanaimport spare straight from manufacturer ...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwan babati hamna posta
Mimi kama muuzaji magari, nimeshakutana sana na changamoto za wateja kuniomba ushauri. Wanatamani sana kuwa nje ya toyota lakini kancho watatiza ni mafundi.Hapo napo n mtego
Kweli mkuu gari za audi hasa A4 nimeendesha siku so nyingi hizi gari nzuri sana kuanzia mafuta speed kubwa na tunachelewa sana kwa kung'a2nia toyota angali hazidumu.audi a4 ya diesel kwa mafuta ni kiboko inakula taratibu kuliko passo ...ubora plus spear ndo sijui
Huu ushauri uliotoa ni mzuri ila sio watumiaji wa magari wote wapo Dar, hadi wazipeleke gari zao sehemu kama CFAO.Unapaswa kuhakikisha kwamba, muda wa service unalipeleka moja kwa moja kwenye kampuni husika kwa service ya uhakika zaidi.
Yaani kama ni nissan au vw, basi service unapeleka tu cfao.
Hapo utafaidi.
Ila ukisema upeleke uchochoroni, itakua ni hasara.