RaptorEagle
New Member
- Apr 16, 2022
- 1
- 0
Nahitaji kuwasiliana na kampuni zilizo sajiliwa na zenye ofisi Tanzania, ambazo zina uwezo na uzoefu wa kuagiza electrical, mechanical na instrumentation equipment and parts. Kampuni iwe na uwezo uzoefu wa kuagiza baada ya kupata order toka kwangu, kusafirisha, clearance, na ku deliver Tanzania, kutoka USA, Canada, Western Europe yote, Australia, New Zealand, South Africa, Brazil, South Korea, Japan. Tutajadiliana kuhusu terms and conditions. DM for further discussions.