Nahitaji kuwasiliana na ofisi za RITA kwa ajili ya mkopo wa chuo, naomba msaada

0800117482
Hii ya huduma kwa wateja. Ila unaweza kupiga hata mara 10 hawapokei. Na wakipokea wanaomba control number uliyopelekea ombi. Wanakwambia watakuhudumia halafu hawakuhudumii. Mpaka nilikata tamaa. Yani mimi nilisotea hiyo verification No . Mpaka siku niko 8_8 Dodoma nikaona banda lao nikaingia ndiko nilikohudumiwa.
Labda uende makao yao makuu. Vinginevyo hawa watu aisee siyo.

Ukitaka kuamini ingia instagram page yao uone Watu wanavyolalamika
 
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…