Nahitaji kuweka madirisha ya aluminium kwenye nyumba hii

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
1,186
Reaction score
659
Nyumba yangu Ina madirisha ya zamani Kama ilivyooneshwa hapa chini, nataka kuongezea aluminium bila kubadilisha Grils zilizopo. Kama Kuna fundi anaweza kazi hiyo tuwasiliane inbox.

 
Nyumba yangu Ina madirisha ya zamani Kama ilibyoonueshwa hapa chini, nataka kuongezea aluminium bila kubadilisha Grils zilizopo. Kama Kuna fundi anaweza kazi hiyo tuwasiliane inbox.

View attachment 1676538
Inawekana kabisa, tena hata wale wakata mikasi (vibaka)watasumbuka kidogo maana watakutana na nondo badala ya flat bar.
 
Nafasi hiyo Alluminium haitoshi....nicheki hapa tupige urembo wa dirisha na tuweke Aluminium kwa bei ya kizalendo na Aluminium itakaa fresh 0789005562

Na bei za Aluminium ni hizi


Bei za aluminum ni kulingana na ukubwa wa dirisha
4*4=170000
4*5=200000
5*5=230000
5*6=260000
6*6=280000

Hii ni pamoja na Kuliweka kabisa! Karibu chief...Tupo Temeke Dsm

Simu 0789 005562

Kwa sample za kazi Njoo kwa wasap kwa namba hiyo juu
 
Naomba kujuzwa je aluminium windows ni nzuri kwa mikoa kama Dar kutokana na hali yake ya hewa ua ni ushamba na ulimbukeni wa fasheni maana naishi kwenye nyumba ya madirisha ya aluminium lakini huwa natamani kuyang'ofoa na in fact kiyoyozi nacho kila wakati ni matatizo matupu labda wabuni madirisha ya aluminium yanayofunguka na siyo haya yanayofunguka kiduchu infact this is #shits ebu tusaidiane mawazo
 
Faida zake
1.gharama nafuu
2.yanavutia

Kufunguka ni vile wewe unataka. Unaweza kuweka yanayofunguka kwa bawaba. Pia unaweza kuweka ukubwa uutakao kupunguza joto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…