Nahitaji kuweka madirisha ya aluminium kwenye nyumba hii

You have a point, nilikuwa sijafikiria hii hali!
 
Yanaingiza mbu inbetwwen kioo na nyavu yakiwa yamefunguliwa sina hamu nayo

Kingsmann
 
Ni mazuri ila kero yake ni hiyo. Hivi wakati wa kufunga hakuna namna ya kuya-design kudhibiti mbu kupenya?
 
Faida zake
1.gharama nafuu
2.yanavutia

Kufunguka ni vile wewe unataka. Unaweza kuweka yanayofunguka kwa bawaba. Pia unaweza kuweka ukubwa uutakao kupunguza joto.
Hii ya bawaba si ndiyo ule mfumo wa zamani? Nimeshindwa kupata mafundi! Kama Kuna fundi unamjua nipe connection nimsililize tafadhali.
 
Nyumba yangu Ina madirisha ya zamani Kama ilibyoonueshwa hapa chini, nataka kuongezea aluminium bila kubadilisha Grils zilizopo. Kama Kuna fundi anaweza kazi hiyo tuwasiliane inbox.

View attachment 1676538
Mkuu me Ni fundi alluminium nipo dar es salaam. Nimeona madirisha yako ukitaka kuweka madirisha ya alluminium inawezekana.
 
Mkuu me Ni fundi alluminium nipo dar es salaam.Nimeona madirisha yako ukitaka kuweka madirisha ya alluminium inawezekana.
Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox.
 
Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox
Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox.

Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox.

Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox.

Kulingana na Changa moto zilizotajwa hapa, naanza kufikiria kuweka kashata za vioo tu vinavyofunguka, yaani Ile design ya zamani, je unaweza, kama vipi njoo inbox.
Ok, nimekuelewa kitalamu hayo madirisha ya kufunguka kwa nje tunaita OPEN WINDOW. Kwa mawasiliano zaid nipigie no; 0652299341
 
Mtwara newala unawez kuleta Kaz , 5*5 kwa 200,000 yapo 17 pamoja na Vent za milango minne?
 
Faida zake
1.gharama nafuu
2.yanavutia

Kufunguka ni vile wewe unataka. Unaweza kuweka yanayofunguka kwa bawaba. Pia unaweza kuweka ukubwa uutakao kupunguza joto.
Hoja yake ya joto la Dar na umeme kukatika hujamjibu...
 
Mtwara newala unawez kuleta Kaz , 5*5 kwa 200,000 yapo 17 pamoja na Vent za milango minne
Mtwara newala unawez kuleta Kaz , 5*5 kwa 200,000 yapo 17 pamoja na Vent za milango minne?
Mara nyingi kazi za mikoan huwa tunafanyia huko huko site mkuu, Kwa madirisha yako 5*5 ntakufanyia kwa 210000 tukifanyia hapo site, Ila tukifanyia ofisin nakuyaleta n 240000 mkuu
 
Nafungua saa 3 usiku, wanakua wamepungua kidogo, japo ndani ni mwendo wa kupulizia dawa daily, ni ya kero sana
Haya madirisha kiukweli yanataka uwe na AC plus standby generator ili yawe yanafungwa all the time na kwa joto la Dar AC full kipupwe... Short of that ni shidaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…