Nahitaji kuweka madirisha ya aluminium kwenye nyumba hii

Mara nyingi kazi za mikoan huwa tunafanyia huko huko site mkuu, Kwa madirisha yako 5*5 ntakufanyia kwa 210000 tukifanyia hapo site, Ila tukifanyia ofisin nakuyaleta n 240000 mkuu
Option Hizo unawez kuamua wew uendane na Hyo Bei niliYokupa
Kumbuka vent za milango 4 pia
 
Ingekuwa mimi, honestly nisingeweka aluminium, kwa jiji la Dar, joto lake na kiasi cha hewa kinachoruhusiwa na hizi sliding windows ni heri ubaki hivyo na hayo madirisha yako au uweke kashata za kioo.

Ningekuwa na hela ningeweka madirisha ya mbao.
 
Mafundi wa kashata za kioo siwaoni siku hizi baada ya aluminium kuingia?
 
Vile unavyotaka ndivyo unavyowekewa....mafundi wapo...Ila ukiona huoni kazi unayotamani ifanyike kwako Mtafute fundi mpe maelekezo atakufanyia unavyotaka....
Ingekuwa mimi, honestly nisingeweka aluminium, kwa jiji la Dar, joto lake na kiasi cha hewa kinachoruhusiwa na hizi sliding windows ni heri ubaki hivyo na hayo madirisha yako au uweke kashata za kioo.

Ningekuwa na hela ningeweka madirisha ya mbao.
 
Uzuri wa madirisha ya aluminium yawe slide...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…