Nahitaji kuweka meno bandia

Nahitaji kuweka meno bandia

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana,

Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini.

Naombeni msaada wenu.
 
Kwanza una umri gani?

Tafuta mbadala, achana na meno ya bandia
 
Back
Top Bottom