Ungemuuliza kwanini? na sio kukurupuka tunachukua hili.
Fanya biashara mkuu.Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo
1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi.
Asanteni waungwana
Kama kweli huoni biashara ya kuifanyia kazi Pesa yako, basi weka huko huko UTT-AMIS (mfuko wa liquid fund-low risk).Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo
1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi.
Asanteni waungwana
Hisa mfano kama zipi mkuuGood
Ingawa kama una umri below 30 kawekeze kwenye hisa, growth ni kubwa zaidi.
CRDB, NICOL, NMB, etc. Unaweza kujifunza kwanza kwenye eneo hilo kabla hujaingia.Hisa mfano kama zipi mkuu
M-wekeza, faida inakuajeAnzia M wekeza kwanza ukishapata uelewa utahamia UTT