Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kwann usilime mazao ya HORTICULTURE. Au lima mazao manne ya matunda yaan passion, nanasi, banana na papai, lima eka moja moja tu jumla 4. Utamake mzee.Kuna haya mazao hapa
- Almonds
- Macadamia
- Cashew nuts
- Palm
Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa.
Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu?
Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia inahitaji mpaka miaka 12 ili ianza kuzaa, Casheq inahitaji kama 4 years hivi.
Kwa mahesabu ya haraka haraka ukiwa na hekari kama 10 tu in the next 15 years unaweza ukawa una make pesa nyingi sana kwa kila mwaka.
Nataka kujilipua ila naomba ushauri kwanza.
Asanteni
Mi nataka kupata changamoto mpya ndo maana nataka hayo hizo kwasababu hazipo common.Kwann usilime mazao ya HORTICULTURE. Au lima mazao manne ya matunda yaan passion, nanasi, banana na papai, lima eka moja moja tu jumla 4. Utamake mzee.
Cashew nut utauza kwa mfumo wa ushirika, malipo shida, bei inabadipika, siasa na processing yake,
Palm nakushauri for the future, sa iv kuna variety ya 3 yrs, processing yake ni changamoto, lakin wese hili linapendwa na lina soko hasa uku kigoma na west zone hii,
Macadamia soko lake sio popula na story zake ni nying tu km Vanilla ilivo na mbambamba, kubungua ili upate nuts zake ni changamoto kufi8ia volume, japo mshikaj wang anafanya kule kaskzin toka 2019 bado cjaona matokeo makubwa ameishia kuandka kitabu, kuuza miche na kuinspire watu.
Almonds atanunua nan bongo au ndo mama ametafuta soko la india
Sawa Mkuu,Mi nataka kupata changamoto mpya ndo maana nataka hayo hizo kwasababu hazipo common.