Naomba msaada wa maelezo kutoka kwa mtu ambaye ameshafika maeneo hayo na gharama zake zipo vipi. Je ni airport ipi ipo better au karibu na hayo maeneo? Tour guide ipoje?
Asanteni sana.
CORDIAL TOURS AND TRAVEL SERVICES LTD RATIBA YA KUTEMBELEA ISRAEL KUPITIA EGYPT Siku ya KWANZA Kuwasili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Cairo kutokea Dar es Sa laam ambapo tutakamilisha tar…