Nahitaji laini ya Safaricom

Nahitaji laini ya Safaricom

Augustking

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
118
Reaction score
188
Habari? Nipo Dar nahitaji line ya safaricom niitumie kuconnect na paypal. Kwa ambae anauza naomba tuwasiliane

WhatsApp +255759702766
Call: +255769931891
 
Kaka unaweza ukanisaidia exactly location? Na siku za jumapili anakuwepo?
Ukifika hio Corner kuna jamaa wanauza chips ukikata tu kona kama unaenda lumumba utaona kiduka kidogo na kibango kwa nje kumeandikwa wakala safaricom...

Sifahamu kama wapo jumapili.
 
Kariakoo na Livingstone kariakoo kuna wakala wa Safaricom pale
Hio ndio nzuri meanz nitapata lain yenye detailz zangu kabisa .je chief hebu nijuze nikiwa na hii chip nitaweza fanya deposit kwa 1xbet na kuwithdraw kama ni yes app itabidi nipakue ya kenya or
 
Ukifika hio Corner kuna jamaa wanauza chips ukikata tu kona kama unaenda lumumba utaona kiduka kidogo na kibango kwa nje kumeandikwa wakala safaricom...

Sifahamu kama wapo jumapili.
Mkuu wanakusajili kwa details zako au tayari wana chip zilizosajiliwa
 
Hio ndio nzuri meanz nitapata lain yenye detailz zangu kabisa .je chief hebu nijuze nikiwa na hii chip nitaweza fanya deposit kwa 1xbet na kuwithdraw kama ni yes app itabidi nipakue ya kenya or
Mkuu wanakusajili kwa details zako au tayari wana chip zilizosajiliwa
Sifahamu labda nikipita niulizie, ila sidhani kama wanaweza kukusajilia kwa details za Tanzania, huku Safaricom ina Roam tu, detAils zinabidi ziwe za Kenya.
 
mkuu ninatumia ttcl kwnye data

nikiwa mjini napata 4g nzuri tu equivalent ya 40-25mbps download

ila nikishatoka mjini mtandao unasoma Roam( h+)

sasa nijuavyo hyo roam ina maana mtandao mmoja unatumia mtandao mwingine kupata access ya data pale wenyewe unaposhindwa

swali langu ni kwamba hyo roam haiwez kuwa 4g ??

maana hapa nilipo tigo, voda, halotel, airtel napata 4g+ , speed mpaka 60mbps download kwa mitandao yote hyo niliyotaja

lakini hii ttcl inaishia tu roam ya h+

Ama roaming huwa inaishia 3g tu haiwezi vuka mpaka 4g??

location Niko moshi sowote

device nayotumia, ni Samsung note 9.
 
Ina maana TTCL wamelipia Roam ya 3G tu, hawajalipia ya 4G.

Ili kupata uhakika weka mtandao uwe 4G only, switch network mode kwenda manual, halafu search halafu jaribu mtandao mmoja mmoja kwa 4G kama utakubali.

Ukimaliza rudisha network Auto.
 
kwnye network operator

manual inazingua.
 
Hio ndio nzuri meanz nitapata lain yenye detailz zangu kabisa .je chief hebu nijuze nikiwa na hii chip nitaweza fanya deposit kwa 1xbet na kuwithdraw kama ni yes app itabidi nipakue ya kenya or
Vizur Sana safaricom na 1xbet inafanya kaz Ila ukitaka usajiliwe na datel zako hakikisha unapasport na usajilie kenya
 
Back
Top Bottom