wadau,
nilienda wenye ofs za T-pesa kuulizia utaratibu wa kupata huduma hii (kuwa wakala) nkajibiwa kuwa huduma hii imesitishwa, labda kama kuna m2 anayetaka kuuza laini yake unaweza kununua tukaire-register!
sasa kuna mtu wa namna hiyo tuongee biashara!?
asante