Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?

Janejo

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
79
Reaction score
2
Wataalamu naomba ushauri wenu. Nahitaji laptop mpya ya bei nafuu kidogo ila imara. Nauliza kati ya Dell na Toshiba ni brand ipi bora? Nitashukuru kwa msaada wenu.
 
Mimi natumia hii kwa sasa:




I can recommend it for you, lakini inategemeana na uwezo wako mfukoni. Ina specs hizi:

Operating System: Genuine Windows Vista® Home Premium (SP2)

Memory Size (GB) :
4

Hard Drive Capacity (GB): 500

Hard Drive Speed (rpm): 5400



Na zaidi unaweza kusoma hapa
 
Mkuu Invisible, naona uko vizuri:

Mimi niko hapa:

Dell Inspiron 1535



  • Up to Intel® Centrino® 2 Processor Technology T9400 (2.53GHz, 6MB L2 Cache, 1066MHz FSB)
  • Genuine Windows Vista® Home Premium
  • 4GB Dual Channel 800MHz DDR2 SDRAM.
  • Intel® Cantiga GM45 Chipset
  • 320GB configured with a 5400 RPM SATA hard drive
  • WIFI
  • Bluetooth
  • 64-Bit Operating System
  • Webcam
  • etc
Before this was using HP.

Ninachoweza kusema naona kama XP niliyokuwa natumia iko vizuri kuliko VISTA. Pia mine is 64-Bit and many software are running at 32-Bit.

Ushauri: Angalia matumizi yako ni nini kwanza. Invisible and even my laptop are on a higher specs and may not be all you need for just a standard use. Also look at your budget.

Good luck!
 
Duh,

Mkuu Superman, hiyo laptop yako kama ya kijana wangu mmoja hapo Dar, kila kitu... Yako ina fingerprint reader?
 
Duh,

Mkuu Superman, hiyo laptop yako kama ya kijana wangu mmoja hapo Dar, kila kitu... Yako ina fingerprint reader?

JF Kuna mambo . . . !! Kazi kweli kweli . . . Mkuu mimi nacheka tu!

HP ilikuwa na Finger Prints Reader. Hii kwa kweli sina uhakika kwa kuwa ina features luluki. Napenda kuamini haina.
 
Wataalamu naomba ushauri wenu. Nahitaji laptop mpya ya bei nafuu kidogo ila imara. Nauliza kati ya Dell na Toshiba ni brand ipi bora? Nitashukuru kwa msaada wenu.
Ushauri unakuwa mgumu kidogo kukupa kutokana na kukosekana kwa budget yako kwa hizo laptop. Mara kadhaa nikiitwa kuangalia matatizo ya laptop/desktop za rafiki zangu kitu common ninachokutana nacho ni bei ya hizo computers over 95% ni zile za gharama nafuu sana bila kujali brand name ya hizo computer.
 
Wakuu Superman na Invisible, nadhani mada haikuwa kutuambia wewe unatumia notebook ya aina gani. Unayotumia wewe unaweza kuwa unaipenda vibaya mno kwa sababu uko kwenye denial, umeshainua, ufanyeje, yabidi uipende, hata kama mashine michoso kinyama.

Kwa mfano, Invisible na Sony yako, hukuona hata haipo katika zile zilizosemwa zinakuwa considered? Notebook making is note Sony's best suit. Na specs hapa sio ishu. Ili tulinganishe, tuna assume ukiwa na notebooks mbili, zenye specs zile zile, na bei ile ile, au mfuko sio tatizo, moja Toshiba moja Dell, ipi bora?

This is a no contest, huwezi kulinganisha perennial award winning Toshiba notebooks na mashine famba za Dell! Toshiba inakubalika duniani as the premier notebook maker:

 
Wakuu Superman na Invisible, nadhani mada haikuwa kutuambia wewe unatumia notebook ya aina gani. Unayotumia wewe unaweza kuwa unaipenda vibaya mno kwa sababu uko kwenye denial, umeshainua, ufanyeje, yabidi uipende, hata kama mashine michoso kinyama.

Nadhani ulimaanisha "umeishanunua"?
Kwa mfano, Invisible na Sony yako, hukuona hata haipo katika zile
Angalia sana unavyotumia hata kati ya Hukuona .. haipo"..

zilizosemwa zinakuwa considered?
Neno sahihi la Kiswahili hapa ni "kutajwa" au orodheshwa.
Notebook making is note Sony's best suit.
Kwa Kiingereza hapo nitawaachia wengine. Lakini kuna makosa fulani.
Na specs hapa sio ishu. Ili tulinganishe, tuna assume ukiwa na notebooks mbili, zenye specs zile zile, na bei ile ile, au mfuko sio tatizo, moja Toshiba moja Dell, ipi bora?
Kama zinafanana kila kitu utalinganisha kitu gani? Ili vitu vilangishwe ni la zima viwe na vitu ambavyo vinafanana na vinavyotofautiana. Au unataka kulinganisha majina tu?

This is a no contest, huwezi kulinganisha perennial award winning Toshiba notebooks na mashine famba za Dell! Toshiba inakubalika duniani as the premier notebook maker:
Kwa hiyo unalinganisha nani ametengeneza?

Kubwa ni kuwa muuliza swali hakutaka kulinganisha makampuni yanayotengeneza laptops au nchi zinazotengeneza laptops kwani hiyo yeye itamsaidia nini. Yeye anataka laptop ya kutumia yeye mwenyewe na anatatizika kati ya hizo mbili, na labda apewe hata ya tatu. La maana ni kumsaidia kufikia uamuzi huo na kufanya hivyo inabidi achokozwe kwanza kabisa:

a. Anataka laptop kwa matumizi gani hasa (ofisini, nyumbani, kuandikia tu, graphics n.k)
b. Bajeti yake ikoje
c. n.k

Mkishapata taarifa za kutosha ndipo hapo ni rahisi kusema hii ni bora au hii inakufaa kulinganisha na hii.
 
i would advice you to go for Dell. i have been doing a research in many laptop brands n when i compare the two brands you mentioned above i think dell is better. if specification is an issue too dont hesitate to ask me, doors r open. All the best Brother
 
I'm a Toshiba person so i'll advice you to go for Toshiba.
cheers
 
Mhh ningekushauli Dell Au HP.Toshiba ni nzuri kwa Specifacation lakini kwa kweli kudumu ndio tatizo....HP na dell kwa kweli i would recomend.
 
To me HP Laptops are the best. Hence start with HP, then Toshiba, n DELL the last one. I have used all the above at least for a year
 

Kaka nakushauri ununue TOSHIBA huyu Innopacho asikuzuge,yeye comp yake ya kwanzak utumia ni HP tena second hand na tangu hapo hajawahi kutumia laptop,yeye ni kuungaunga tu.Sasa siju hizo research kafanya lini wakati yeye kazi ni kula manto na ku-download software za wizi.Nunua TOSHIBA ndugu nakushauri,ni mashine za uhakika.
 
Kama bado huja amuua ipi utanunua chukua shilingi irushe juu, Kichwa "Dell" Mwenge "Toshiba". Hizi laptop zote hutengenezwa Asia!!!! Halafu cha muhimu kukumbuka ni kwamba Laptop ziyo urithi, Miaka miwili mitatu inatosha sana kuanza kufikiria Laptop mpya...
 
Kuna laptop kadhaa za DELL nimeona vitufe vya keyborad vimeng'oka. Nadhani Toshiba zina ubora zaidi kuliko DELL.

I'm a HP man. Kama sijakosea, zinapatikana nyingi sokoni; hii itapelekea wewe kuwa na urahisi wa kupata spare baadae ukihitaji (you can replace screen, battery, etc).
 
Im Dell i would advice you go for Dell D630 and above(internal modem for internet)
 
Nawashukuruni nyote kwa ushauri wenu. Kwa kuwa matumizi yangu ya laptop ni ya kawaida na kulingana na bajeti yangu ndogo nimeamua kununua Dell Studio 1555 320GB. Nitafanya maarifa ya kununua Toshiba hapo baadae.
 
toshiba ni vimeo you cant at any ground compare dell to toshiba.
it is a murder- like one time saying of the late Mwalimu.
 
Mi mbona nina Dell tena latitude D600
processor 1400MHz,598 MHz
ram 512 MB,win xp sp2,
kana miaka 3 nilikanunua kwa mtumba nakatunza mpaka leo nadunda nako JF.
kila kitu matumizi tu na ujue kuitunza.
I suggest Choose DELL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…