Nahitaji likizo, baada ya kumaliza ujenzi

Hongera sana kwa kumaliza hatua ya awali kuelekea kujikomboa kiuchumi, Sasa itabidi ifuate miradi
 
Huu uzi ungeusindikiza kwa picha ingekua poa sana
Ili muanze kuukosoa mjengo wake? Si unaijua mijengo ya wasomi wetu ilivyo shapeless?
Unaweza kushangaa kama ni nyumba iliyojengwa na msomi tena wa jalalani university
 
Wewe utakuwa fisadi. Mm naogopa kujenga kwasabb, baba mwenye nyumba wangu kuna nyumba alianza kujenga 2019 mpk leo hajamaliza.
 
Mbona sioni nyumba yenyewe? Au umejenga ndotoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…