YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 42
TCRA, BOT na viongozi wa serikalini watakuambia mitandaoni kuna fursa nyingi sana na unaweza kutengeneza helaHabari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni.
Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata.
Natanguliza Shukrani zangu. π
Nipigie 0743070834Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni.
Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata.
Natanguliza Shukrani zangu. π
Kwa Tanzania mbona inakataa?Fungua PayPal na connect na Xoom haiitaji laini ya Safaricom.. hii unapokea na kutoa hadi kwenye Mobile Money kama M-Pesa, tiGO Pesa, na Airtel Money