Hii movie nilicheka saana
Genious ni mtu mwenye IQ kubwa kuliko normal IQ ya binadamuNi vyema ukatupatia kwanza tafsiri ya neno "magenious" ama "genious" ndipo tuelekee katika list.
Mm nshaifuta ila kuna jamaa anaitwa future vision yupo mabibo nadhan anauza series hzoMkuu nitaitafuta hiyo
Ipo inaitwa Genious ya kihindi.JMT
Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON
nimetokea kuzikubali hizi movie
Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo.
Nawasilisha