Siwamilele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2019
- 288
- 730
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa.
Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata hivyo usiache kuniambia sehemu nyingine yoyote ambayo iko poa kwa biashara hiyo kwa faida yangu na kwa faida ya wote.
Asanteni.