Bm_boy JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 547 Reaction score 348 Oct 29, 2014 #1 Habari wakuu. Kama headline inavyojieleza nahitaji mtaalam wakunidizainia logo Ambayo nitaitumia kwenye biashara yangu. Na hata kuiprint kwenye t-shirt na hata blog. Mtaalamu ajitokeze tuelewane.
Habari wakuu. Kama headline inavyojieleza nahitaji mtaalam wakunidizainia logo Ambayo nitaitumia kwenye biashara yangu. Na hata kuiprint kwenye t-shirt na hata blog. Mtaalamu ajitokeze tuelewane.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Oct 29, 2014 #2 https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=493434 Cc LOGORIDDIM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
AMLIGHT JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 1,140 Reaction score 843 Oct 29, 2014 #3 Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm
Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm
Bm_boy JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 547 Reaction score 348 Oct 29, 2014 Thread starter #4 Humble African said: Nakushauri utafute ile "log out" maana ndio maarufu na naiskia inasemwasemwa saana zaidi ya hiyo "log" unayozungumzia mkuu Asante! Click to expand... Hahahaha Logo Mkuu
Humble African said: Nakushauri utafute ile "log out" maana ndio maarufu na naiskia inasemwasemwa saana zaidi ya hiyo "log" unayozungumzia mkuu Asante! Click to expand... Hahahaha Logo Mkuu
Bm_boy JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 547 Reaction score 348 Oct 29, 2014 Thread starter #5 AMLIGHT said: Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm Click to expand... Mkuu logo ya jina langu... Na mimi nahusika na masuala ya intertainment.. Xo ukiwa tayari nikupm jina na vile itakua
AMLIGHT said: Logo ya aina ipi? Iwe na nn na nn? Wafanya biashara gani? Logo yapasa iwe na reflections ya kile wafanya na jina la biashara pia, maelezo zaidi n muhm Click to expand... Mkuu logo ya jina langu... Na mimi nahusika na masuala ya intertainment.. Xo ukiwa tayari nikupm jina na vile itakua
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Nov 2, 2014 #6 mtafute LOGORIDDIM!Anafanya kazi nzuri huyu jamaa,nimeona kwenye blog yake kiukweli,utafurahia?