Nahitaji Lollipop Mold

MAHUMA k

Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
10
Reaction score
3
Mimi ni mjasiliamali naomba kusaidiwa mwenye kujua mahala ambapo naweza kupata wauzaji wa lollipops mold zinatumika kutengeneza pipi za vijiti.
 
Mkuu tupe elimu jinsi ya kutengeneza lollipop
 
Asante.... japo nilihitaji kutoka kwa wauzaji wa hapa Tanzania make kutoka nje nafikiri ni gharama kubwa ..
Watu huwa tunakauoga ka kujaribu but trust me kuna online markets wako cheap na uhakika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…