Godzilla ft. G Nakko - Kila Wakati (Lyrics)
Intro Bridge:
Kila wakaaaati (MJ Recoords)
Kila wakaaaati (Dakso Chali)
Verse 1 (Godzilla) :
Kujua mziki hommie that's
not enough,
Ukishindwa rudi matawi ya chini omba
upigwe tafu,
Discipline kua nayo maintain aisee,
Ukileta kiburi upewe kaburi yaan ubalo-self,
Masikani kwa amani mi
na-meditate,
Rule namba moja simpo
usi-complicate,
Mtaani hakuna Chuo
tuna-graduate,
Ukinipa njia moja ya Maisha mi
nai-duplicate,
Mnyonge naye anaishi km
tough guy,
Namwambia
tough guy,
I'm happy for you
tough guy,
Nakupa advance ya
goodbye to you,
Kwa saabu najua what next gonna
happen to you,
Fanya move za biashara
stop delaying,
Noh,
Check hawacheki na wewe
stop playing,
Leo mko safi
full story,
Kesho wanafunga chapter yako
end of the story.
Chorus (G Nakko) :
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Mungu ni Mwema
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Kiiiila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Verse 2 (Godzilla) :
Yeah,
Nacheck Video ya bahari kutoka
double tree,
Fanya yote hommie it is not easy
to be me,
Kikosi cha maangamizi Dakso M
twenty three,
Regrown wa rap hommie I am
MVP,
Hauoni fursa za hela una
blindness,
I'mma gangster man Aneth wewe ndio my
business,
Ukileta umbeya itakula
kwenu,
Majina ya wazushi kibao list on the
menu,
Nafuta maumivu nakumbuka
Old time,
Wakisema God is Good najibu
all the time,
Tuwape ukarimu watu wa vidole kwa
trigger,
Fred is my hommie my day one
nigger,
Tulianza Ghetto huku tukiwaza
Bangalore,
Leo napokea simu ya Joe Makini toka
Ngarelo,
Tumeanza mziki Ghetto tukilala kwenye
floor,
Sahivi tukiamka asubuhi ni supu ya
Kanga luh!
Chorus (G Nakko) :
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Mungu ni Mwema
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Kiiiila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Kila wakati
Kila wakati
Kila wakati
Mungu ni Mwema
Made with love by Me
BUKU 1 800
RIP Godzilla (ZIZI) -Rest In Paradise Bro
View: https://x.com/jmkikwete/status/1095782049246531584?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1095782049246531584%7Ctwgr%5Ece64defcbf3cd250ff6c312456b849a7e6cf53b2%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jihabarishe.com%2Frip-godzilla-tanzanian-rapper-no-more-3281