Nahitaji maalumu wa kudesing hii

Hiyo inaitwa Wall Murrow........!
Kazi zangu za kitambo hizo but baadaye nikaamia kwenye Advance level ya Epoxy 3d....
 
Hiyo epoxy 3d ipoje
Ni new technology ya floor painting......na yenyewe imegawanyika, kuna Epoxy Metallic, Plain na Epoxy 3!

3d ni Floor inayokua na image but ipo covered na hiyo Epoxy Resin!
Kwa lugha nyepesi hiyo picha uloweka hapo juu inaweza kuwa kwenye Floor yoyote!
 
Baba hata mapicha picha
 
Hiyo yako imetofautiana kidogo na Wall paper, so hiyo unayotaka kitaalam inaitwa Wall Murraw....

Wall paper- Ni vipande vya Karatasi ambavyo vina images zinazojirudia kila kipande zikiwa sawa.
Wall murraw-Ni vipande vya Karatasi ambavyo kila kimoja kina image inayojitegemea, na vikiwa installed inaleta picha kwa mapana Yake.
I hope nimejaribu kukuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…