Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

Hapo labda utafute wafanyakazi wa seko au msuya hapo bomang'ombe au mbonika hapo moshi mjini maana wao ndo huwaga wanajengaga manyumba na kuzungusha bati pembeni
 
Back
Top Bottom