Nahitaji maboksi ya aina yake, kiwanda cha maboksi kipo wapi hapa Tanzania?

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
900
Reaction score
431
Habari wadau,nahitaji kujua wapi naweza fahamu kiwanda cha kutengeneza maboksi kilipo hapa Tanzania.Nahitaji kutengeneza maboksi kulinga na parking ninayotaka kufanya,nasafirisha mizigo kutoka hapa Tanzania kwenda nje.
Ntashukuru
 
Nadhani hakuelewa uzi mkuu ha ha ha
ameelewa lakini ni mwehu tu, fuatilia posts zake utamjua vizuri. kwa kuwa hicho kiwanda kipo arusha ndiyo maana anawashwa, ni chalii wa arusha huyo. hana tofauti na kibajaji wa CCM.
 
Habari wadau,nahitaji kujua wapi naweza fahamu kiwanda cha kutengeneza maboksi kilipo hapa Tanzania.Nahitaji kutengeneza maboksi kulinga na parking ninayotaka kufanya,nasafirisha mizigo kutoka hapa Tanzania kwenda nje.
Ntashukuru
Omar packaging Industries vingweta-vingunguti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…