Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu watu wengi wanasema hii mashine iko vzr lakini nina hofu nayo kwenye ruti ndefu.Roho ya paka hii gari
Ni kweli starlet imeshapitwa na wkt, kuna gari mbadala zake km ist, runx, allex, probox n.kHizi gari zilishapitwa na wakati mkuu!
Hii gari ninayo mwaka WA 4 SASA .nasafiri nayo kila kukicha Dar Njombe, Njombe Dar na sijawahi kujuta inakula mzigo na mafuta yake naena 1 Lita Km 14 mpaka 15. Inachanganya haraka na ina speed kubwa.
Inavumilia kila Hali. Sijutii kua nayo
Mmenishawishi nitafute hiki kidude katanisaidiaNinayo namiliki last week end nilitoka nayo kutoka mwanza to geita niliweka 20 ltrs ikiwa empty nikaenda geita nikarudi nikaendelea ni misele mwanza mara PAA km 400 na nilikua full ac na MTU 4 ndani kwakweli vinanusa cc 1330 Jana MTU simjui kanipigia nimuuzie nikamwambia anitafutie kingine kama hiki maana nimefunga nacho ndoa ya kikatoliki
Hizo zote bado cha mtoto, hapo inayoweza kuchuana na stalet ni probox Tu.Ni kweli starlet imeshapitwa na wkt, kuna gari mbadala zake km ist, runx, allex, probox n.k
kivipi?Hizo zote bado cha mtoto, hapo inayoweza kuchuana na stalet ni probox Tu.
Alteza na subaru hawafui dafu.Kitu cha ukweliMwenye starlet glanza natafuta kwa UDI na uvumba! Tuwasiliane plz
Alteza na subaru hawafui dafu.Kitu cha ukweli
Mwenye starlet glanza natafuta kwa UDI na uvumba! Tuwasiliane plz