Nahitaji maelezo ya kahawa ununuzi na usafirishaji nje ya nchi.

Amyqn

Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Habari wanajamii
Naomba muongozo kuhusu kahawa, nahitaji kununua kahawa na kusafirisha kwenda Uganda. Je ni taratibu gani nitumie kwenye ununuzi? Kwa upande wa moshi naambiwa ni lazima nifanye ununuzi kupitia auctions kuna mwenye experience na ununuzi wa kupitia auctions? KNCU/KCU na je ununuzi binafsi unakuwaje? Na vip kuhusu kibali cha usafirishaji? Asante sana nakaribisha mawazo tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…