Dar maeneo gani kiongozi, mafundi wanamalizia kazi hapa kwangu wamefanya finishing nzuri ya plaster , wameskim vizuri na sasa wanaweka level na kumwaga mchanga wenye cement tayari kwa tiles , Mafundi wa Gypsum na urembo au decoration wamenifanyia kazi nzuri Sana. Ila nilikula hasara baada ya wale mafundi wa mwanzo kuniwekea blandering ya ajabu ilibidi nishushe mbao zote sebureni wanaume wa kazi wakafanya kitu kiziri najivunia Sana mafundi wangu. Najiandaa kuweka tiles ndaninya siku 3 zijazo
Sent from my Redmi Note 3 using
JamiiForums mobile app