Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Unapatikanaje mkuuNahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Dar maeneo gani kiongozi, mafundi wanamalizia kazi hapa kwangu wamefanya finishing nzuri ya plaster , wameskim vizuri na sasa wanaweka level na kumwaga mchanga wenye cement tayari kwa tiles , Mafundi wa Gypsum na urembo au decoration wamenifanyia kazi nzuri Sana. Ila nilikula hasara baada ya wale mafundi wa mwanzo kuniwekea blandering ya ajabu ilibidi nishushe mbao zote sebureni wanaume wa kazi wakafanya kitu kiziri najivunia Sana mafundi wangu. Najiandaa kuweka tiles ndaninya siku 3 zijazoNahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Ungeweka na kapicha tuone kazi za hao mafundiDar maeneo gani kiongozi, mafundi wanamalizia kazi hapa kwangu wamefanya finishing nzuri ya plaster , wameskim vizuri na sasa wanaweka level na kumwaga mchanga wenye cement tayari kwa tiles , Mafundi wa Gypsum na urembo au decoration wamenifanyia kazi nzuri Sana. Ila nilikula hasara baada ya wale mafundi wa mwanzo kuniwekea blandering ya ajabu ilibidi nishushe mbao zote sebureni wanaume wa kazi wakafanya kitu kiziri najivunia Sana mafundi wangu. Najiandaa kuweka tiles ndaninya siku 3 zijazo
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Kitu hicho hapo mkuuUngeweka na kapicha tuone kazi za hao mafundi
Asante kiongozi, urembo ni muhimu pamoja na taa zake za gypsum, vijana Kwa sasa wanapiga tiles wakimaliza hilo ndilo zoezi linalofata. nipe Location yako kama uko Dar.Karibu tukuuzie urembo mzuri wa kupaka hapo juu
Naona Deco ya tv hapo imetulia, hivi hiyo ni Ile rangi ya pamba?
Asante kiongozi, urembo ni muhimu pamoja na taa zake za gypsum, vijana Kwa sasa wanapiga tiles wakimaliza hilo ndilo zoezi linalofata. nipe Location yako kama uko Dar.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Naona Deco ya tv hapo imetulia, hivi hiyo ni Ile rangi ya pamba?
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Nimeku Pm mkuu naomba unijibuKaribu tukuuzie urembo mzuri wa kupaka hapo juu
wasukuma kwa mbwembwe hamjamboMafundi wa mwanzo waliharibu sana kila nikiwapa ramani wanaharibu , nikashusha uchafu wao wote chini, leo napata jeuri ya kupiga picha na kutupia humu.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
muone shirima ujenzi bora..check facebookNahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Ubora wa kazi ni tiba kamili, walizingua sana nikashusha mbao zao zote chini nikanunua material mengine ndo kama ulivyoona hapo[emoji16]wasukuma kwa mbwembwe hamjambo