Nahitaji Mafundi wa Kufanya Skimming, kupiga rangi, kuweka Tiles, na gypsum

Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:

Wawe Dar
Mtaalamu Wa Finishing kali zenye viwango vya juu vya ubora ....nipo DSM na mikoani nafika

Tunashughulika na Yafuatayo

[emoji3502] UREMBO WA KISASA

[emoji3502]PLASTA ZA KISASA

[emoji3502]SKIMING NA RANGI

[emoji3502]TILES

[emoji3502]USIMAMIZI WA KAZI

[emoji3502]TUPO TEMEKE

[emoji830]CONT. [emoji336]0789005562


Kwa bei ya kizalendo nitafanya nyumba yako ipendeze na ivutie kwa kazi Nzuri

Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]

Https//Wa.me//255789005562
 
Mafundi wa mwanzo waliharibu sana kila nikiwapa ramani wanaharibu , nikashusha uchafu wao wote chini, leo napata jeuri ya kupiga picha na kutupia humu.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi kazi waliyoifanya inavyoonekana, ni dhihiriko kuwa hao ni mafundi wazuri kwa finishing. Nahitaji kupata mawasiliano yao.
 
Hongera mkuu kwa kazi nzuri
 
#Kelv

Hizo hapa #showcase kali kabisa kwa Laki 5 tu za kitanzania nakukabidhi hapo Seblen kwako!

Natumia mbao, misumari, body na screw na wallput

Karibu tukuhudumie!.....Kwa laki 5 unaipata hii kila kitu kwangu kwa Dsm...mikoani nipigie tuongee...0789005562 au wasap Wa.me/255789005562

#ujenzieatv #ujenzizone #choobora #kelv #finishingtouches #ujenzidsm #ujenzizanzibar #ujenzitz #ujenziwanyumbaboratz #finishingmaster #TvWall #tvwallinstallation #tvwalldesign #tvshow

By

Kelvin Hk
 
Ubunifu ni 0.0 percent,maduara kwangu mimi ni big no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…