Nahitaji mafundi wazuri wa mitsubishi mini pajero 10

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Habari nani anaweza nisaidia kuwapata mafundi wanaojielewa ambao wapo vema na kurekebisha miguu ya mini pajero

Picha ya aina ya gari hiyo hapo chini.
 
Mtafute jamaa anaitwa Magoti kama upo Dar, search Facebook ni fundi mzuri na mstaarabu sana. Kila la heri.
 
Habari nani anaweza nisaidia kuwapata mafundi wanaojielewa ambao wapo vema na kurekebisha miguu ya mini pajero

Picha ya aina ya gari hiyo hapo chini.
Vipi ulimpata fundi? Kama una number yake naomba unipatie
 
Mitsubishi kichomi
Hao jamaa wa Mitsubishi kwa upande wa magari madogo, wamefanikiwa kwenye body tu! Kiukweli body zao ni ngumu na zina muonekano mzuri. Changamoto ni kwenye mfumo wa injini.

Ahueni kwenye magari makubwa wako vizuri. Mfano Mitsubishi Fuso, Mitsubishi Canter, nk. Huko hakuna shida kabisa.
 

Outlander za petrol hazina shida kubwa hasa zile za 2005 - 2011, ukiangalia reviews
 
Mitsubishi kwenye gari ndogo wamefail kabisa. Labda Pajero hasa za miaka ya nyuma ndio ziko reliable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…