H HAKUNAGA JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 72 Oct 19, 2018 #1 Wakuu naomba kujuzwa ni mafuta gani hutumika kufanyia masaji, nifahamu pia pahala yanapopatikana kwa Dar
Wakuu naomba kujuzwa ni mafuta gani hutumika kufanyia masaji, nifahamu pia pahala yanapopatikana kwa Dar
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,957 Oct 19, 2018 #2 Kumbe huwa wanatumia mafuta, isije kuwa KY.