nenda kwenye maduka ya waarabu,k.koo pale soko kuu ukitokea upande wa chini kama wa kupanda magari ya mwenge wanakuwaga na spice nyingi pale uwzi kukosa
nenda MIKOCHENI AGRICULTURAL RESEARCH INSTITUTE(MARI),,,wanapaita minazi wanauza mafuta ya nazi inayotoka kwenye shamba lao la minazi lipo bagamoyo,,ukifika mwenge unaelekea njia ya coca-cola opposite na KONOIKE