Nahitaji maghala ya kuhifadhi mahindi Songea na Dodoma

Nahitaji maghala ya kuhifadhi mahindi Songea na Dodoma

realtor

Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
19
Reaction score
6
Habari zenu wadau wa kilimo biashara.

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani 1000 kwa wakati mmoja kwenye hiyo mikoa. Pia ninaomba kujua gharama na muda wa kukodisha kwa kila ghala.

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada na maoni yenu.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom