Nahitaji magunia ya bamia na Nyanyachungu Dar es Salaam

Nahitaji magunia ya bamia na Nyanyachungu Dar es Salaam

Erick11

Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
22
Reaction score
39
Habari za majukumu,

Kama kuna mkulima au mwenye anajua zinapatikana BAMIA na nyanya chungu naomba connection, ikiwa karibu na Dar itakuwa vizuri zaidi au hata nje ya Dar.

Nahitaji gunia kuanzia 5 na zaidi kila baada ya siku 2.

0658644485 kwa mawasiliano zaidi
 
Unanunua sh ngapi kwa ndoo kubwa maana ndiyo kipimo chetu
 
Unanunuaje kwenye ndoo kubwa mkuu
 
Back
Top Bottom